
M BET TANZANIA YAFURAHISHWA NA TAMASHA LA SIMBA DAY
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-BET Tanzania imevutiwa na kufana kwa tamasha la Klabu ya Simba (Simba Day) ambalo lilifanyika Jumatatu (Agosti 8, 2022) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mbali ya utambulisho wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Kombe la Azam Federation na Ligi ya Mabingwa Afrika, tamasha…