
GERRAD:KLOPP ANASTAHILI KUKAA KWA MUDA LIVERPOOL
STEVEN Gerrard, Kocha Mkuu wa Aston Villa amesema kuwa Jurgen Klopp anastahili kuendelea kukaa ndani ya Liverpool kwa miaka mingi kwani amefanya mambo makubwa. Klopp bado yupo ndani ya Liverpool mpaka 2026 baada ya kuongeza kandarasi ya miaka miwili. Mkataba wake wa awali ulikuwa unatarajiwa kumeguka mwaka 2024 hivyo bado yupoyupo sana ndani ya timu…