KIUNGO HUYU WA KAZI AINGIA ANGA ZA VINARA WA LIGI

RASHID Nortey raia wa Ghana anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusajiliwa na Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 48 aada ya kucheza mechi 18 msimu wa 2021/22. Nyota huyo anacheza katika Klabu ya Medeama inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana. Rekodi zinaonyesha kuwa ni moja ya kiungo…

Read More

YANGA WANAHESABU NDEFU KWA AZAM FC

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwa sasa Yanga inafanya maandalizi ya mwisho kabla ya kumenyana na Azam FC mchezo wa mzunguko wa pili kwa msimu wa 2021/22. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa…

Read More

BANDA APEWA MILIONI SIMBA

PETER Banda kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ni jambo kubwa kwake kuweza kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi. Banda ni Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month) na amepewa zawadi yake baada ya kuwashinda Shomari Kapombe na Pape Sakho ambao aliingia nao fainali. Banda amepewa zawadi ya…

Read More

VIDEO:SHABIKI SIMBA ALITAJA BENCHI LA UFUNDI,YANGA

SHABIKI wa Simba,Issa Azam amesema kuwa ushindi walioupata ni furaha kwao kwa kuwa walikuwa wanahesabu mabao tu mbele ya USGN huku wakirejesha shukrani kwa benchi la ufundi,wachezaji ambao waliweza kupata ushindi wa mabao 4-0. Ameongeza kwa kusema Watanzania wote wanastahili shukrani kwa jambo ambalo walifanya usiku wa kuamkia leo Aprili 4,2022.

Read More

VIDEO:PABLO AWASHURUKU MASHABIKI USHINDI WA 4G KIMATAIFA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ni pongezi kubwa wanastahili wachezaji,mashabiki pamoja na uongozi kwa kuweza kushuhudia timu hiyo ikipata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya USGN na kuweza kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho usiku wa kuamkia leo Aprili 4,2022. Pia Pablo amesema kuwa wapinzani wao walikuwa imara kwa kuwa…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU AZAM FC

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini wanahitaji pointi tatu muhimu. Baada ya kucheza mechi 18 ni pointi 48 wamekusanya wakiwa nafasi ya kwanza wanatarajia kumenyana na Azam FC Jumatano ya Aprili 6,2022. Kwenye msimamo Azam FC ipo nafasi ya tatu na pointi 28…

Read More

KIUNGO MGHANA ACHAGUA KUCHEZA NA FEISAL NA SURE

KIUNGO wa kimataifa wa zamani wa Simba raia wa Ghana, James Kotei, ameweka wazi kuwa kama ataambiwa achague viungo wa kucheza nao kutoka Yanga, basi atawataja Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ na sio pacha ya Khalid Aucho na Yannick Bangala. Sure Boy aliyejiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili msimu…

Read More

MANCHESTER UNITED WAAMBIWA NGUMU KUWA TOP 4

GARY Neville, mchambuzi wa masuala ya michezo anaamini kwamba mbio za timu yake hiyo ya zamani kutinga top 4 ni ngumu baada ya kutoshana nguvu na Leicester City,Uwanja wa Old Trafford. Bao la Kelechi Iheanacho dk 63 kwa Leicester City kisha United waliweka usawa kupitia kwa Fred dk ya  66. Kwenye msimamo United ipo nafasi…

Read More

KIMATAIFA SIMBA YAPIGA MASHUTI 20

NYOTA wa Simba wanaonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi mbele ya USGN rekodi zinaonyesha kwamba walipiga mashuti 20 langoni kwa wapinzani wao. Haikuwa kazi rahisi kwa Simba kuweza kufanikisha lengo lao kwa kuwa kipindi cha kwanza safu ya ushambuliaji ilikosa umakini ndani ya dakika 45 licha…

Read More

TOTTENHAM YASHINDA 5G,YATINGA 4 BORA

TOTTENHAM Hotspur imeishushia kichapo cha mabao 5-1 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mchezo huo umechezwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Tottenham Hotspur mbele ya mashabiki 57,553. Mabao ya Ben Davies dk 43,Matt Doherty dk 48,Heung-min Son dk 54,Emerson Leite de Souza Junior dk 63,Steven Bergwijn dk 83 ambaye alianzia benchi…

Read More

SIMBA YAIPIGA 4G USGN KWA MKAPA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 USGN katika mchezo wa makundi. Watupiaji kwa Simba ni Sadio Kanoute dk 63,Chris Mugalu dk 68 na 78 na kipa wa USGN alijifunga dk 84. Simba ipo nafasi ya pili na pointi 10 kundi D sawa na RS Berkane. Timu mbili zinapita zote zikiwa zimekusanya pointi 10…

Read More

SIMBA 0-0 USGN, UWANJA WA MKAPA

DAKIKA 45 Uwanja wa Mkapa ubao Simba 0-0 USGN hatua ya makundi. Simba wamekwama kutupia kupitia kwa Pape Sakho aliyekosa nafasi mbili, Sadio Kanoute nafasi tatu za kufunga. Pia Kanoute kwa kucheza faulo ameonyeshwa kadi ya njano na mwingine kwa Simba ni Joash Onyango ambaye hakuwa na chaguo alimchezea faulo Adebayo Victorean. Simba wamepiga kona…

Read More