
SHIBOUB APOTEZEWA NDANI YA SIMBA
BENCHI la ufundi la Simba chini ya kocha mkuu, Pablo Franco, raia wa Hispania, limeachana na mpango wa kumpa mkataba aliyekuwa kiungo wa timu hiyo kutoka nchini Sudan, Sharaf Shiboub, kufuatia kutoridhishwa na kiwango chake alichokionyesha kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi. Shiboub amerejea nchini kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye timu hiyo ambayo Alhamisi…