>

PABLO:TUTACHEZA KWENYE UWANJA AMBAO TUNAWEZA KUCHEZA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kesho Januari 26 watacheza kwenye uwanja ambao wanaweza kucheza kutokana na ubora wa uwanja huo. Pablo amekuwa kwenye mwendo mgumu na kikosi cha Simba ndani ya dakika 180 katika viwanja vya ugenini ambapo hajaambulia ushindi zaidi ya sare na safu yake ya ushambuliaji haijafunga bao. Ilikuwa ni…

Read More

ABDI BANDA NYOTA WA MTIBWA SUGAR AOMBA RADHI

BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa Simba. Banda alitoa kauli ya kuwakejeli kwa wachezaji wa Simba, baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Manungu Complex Jumamosi Januari 22 na timu hizo kwenda sare ya 0-0. Beki huyo ambaye amewahi kucheza soka…

Read More

NYOTA MPYA YANGA AMPA JEURI MTUNISSIA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ujio wa kiungo mshambuliaji,Mkongomani, Chico Ushindi, umeongeza ubora na ushindani wa namba katika kikosi chake. Nabi amesema kuwa licha ya kuwa na nafasi ya kumtumia Fei Toto, lakini yupo Chico ambaye anamudu kucheza nafasi hiyo namba kumi. Nabi amesema kuwa anaamini uwezo mkubwa alionao Chico kutokana na kumfahamu baada ya kumfuatilia…

Read More

AZAM WATANGAZA ABDI KUWA KOCHA MKUU

Klabu ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina. Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana. “Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina…

Read More

NYOTA MAN UNITED AIBUKIA SEVILLA

KLABU ya Sevilla ya Hispania imefikia makubaliano ya kumsajili kwa mkopo winga wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial. Nyota huyo amekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha United na amekuwa akishinikiza kuondoka ndani ya miamba hiyo. Sevilla wamekubali kulipa mshahara wote wa mchezaji huyo hadi mwezi Juni na atasafiri leo…

Read More

KOCHA WA MAKIPA YANGA AFUNGUKA DIARRA KUKAA BENCHI AFCON

KUENDELEA kusugua benchi kwa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Mali inayoshiriki mashindano ya Afcon huko Cameroon, kumemuibua kocha wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nievov ambaye ameweka wazi kuwa huenda ikaleta athari katika kiwango chake. Diarra hajaanza katika mchezo wowote wa Mali katika hatua…

Read More

CHIKO USHINDI AMPA KIBURI NABI, USHINDANI WA NAMBA NI BALAA!

KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amesema kuwa ujio wa kiungo mshambuliaji,Mkongomani, Chico Ushindi, umeongeza ubora na ushindani wa namba katika kikosi chake. Kauli hiyo aliitoa siku moja kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania uliotarajiwa kupigwa jana saakumi kamili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Kabla…

Read More

SABABU YA MUKOKO KUSEPA YANGA HII HAPA

RASMI uongozi wa Yanga umethibitisha kwamba kiungo Tonombe Mukoko hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22 kwenye mechi ambazo zimebaki. Kiungo huyo anakwenda kujiunga na kikosi cha TP Mazembe kwa ajili ya kuendelea kufanya kazi ya mpira ambayo ameichagua. Sababu kubwa ya kiungo huyo kuondoka ni makubaliano ya pande zote mbili kati ya…

Read More

NIGERIA YATOLEWA AFCON

TIMU ya taifa ya Tunisia Carthage Eagles imefanikiwa kuwa timu ya pili kukata tiketi ya kuingia katika robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, (Afcon 2021) baada ya kuibwaga Nigeria-Super Eagles kwa bao 1-0 katika uwanja wa Roumde Adjia mjini Garoua. Tunisia waliandika bao lao la kwanza na la ushindi kupitia kwa mchezaji Youssef Msakni anayechezea klabu ya…

Read More