
TANZANIA YATWAA MAKOMBE 7,MAJALIWA ATOA SALAMU ZA PONGEZI
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Bunge la nchi hiyo, baada ya kuibuka na makombe saba katika michezo mbalimbali kwenye Mashindano ya 11 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyomalizika hivi karibuni jijini Arusha. Amesema wabunge hao wamefanya kazi kubwa ya kuipambania Tanzania na Bunge la Tanzania…