
MTANZANIA ATUA ULAYA KUBORESHA MISINGI
NYOTA Omary Muvungi kutoka kituo cha mpira wa miguu cha Cambiasso Sports, Omary Mvungi amefanikiwa kwenda nhini Uingereza kwa mwaliko kutoka kwa mchezaji wa zamani wa Chelsea Denis Wise. Nyota huyo ambaye ni mshambuliaji alipata fursa pia ya kupiga picha na mchezaji huyo na nahodha wa zamani wa Chelsea, Dennis Wise baada ya kutua nchini…