
BREAKING:RASMI SIMBA YAACHANA NA HITIMANA TIERRY
RASMI uongozi wa Simba umethibitisha kuachana na Hitimana Thiery ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu hiyo. Awali ilikuwa ni tetesi kwamba huenda Simba ikampa mkono wa kwa heri kocha huyo ambaye alikuja kuchukua majukumu ya Didier Gomes kwenye mashindano ya CAF. Kwa sasa Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Pablo ambaye huyu ana vigezo vinavyotakiwa…