
ANACHOKIWAZA MUKOKO JUU YA SIMBA KIPO NAMNA HII
MUKOKO Tonombe kiungo wa Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba hawana hofu yoyote watapambana kupata ushindi. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 19 baada ya kucheza mechi saba za ligi huku wakiwa wameshinda mechi sita na kulazimisha…