
VIWANJA VYETU BADO TATIZO, MABORESHO MUHIMU
WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara na Championship zikizidi kupasua anga kuna tatizo jingine ambalo linazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2021/22 kila kona kumekuwa na hamasa kwa ajili ya kuona kwamba kila timu inapata matokeo lakini sehemu za kuchezea asilimia 70 bado hazijawa bora. Mpaka sasa kwa…