
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO
NOVEMBA 2,2021 Ligi Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi ambapo ushindani umekuwa mkubwa tofauti na msimu uliopita. Leo viwanja viwili vitakuwa na burudani tosha kwa mashabiki wao huku wachezaji wakionyesha kile ambacho wamefundishwa na makocha wao katika muda wa maandalizi. Ni mchezo kati ya Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 12 kwenye msimamo wa…