YACOUBA APELEKWA TUNISIA
YACOUBA Songne, mshambuliaji wa kikosi cha Yanga raia wa Burkina Faso, amepelekwa nchini Tunisia kwa ajili ya matibabu kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting. Songne anaesumbuliwa na jeraha la goti huenda akawa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu kutokana na ukubwa wa jeraha hilo. Kwenye mchezo…