
ISHU YA JEZI YA CHAMA SIMBA WAMEHUSIKA NAMNA HII
ISHU ya jezi ya kiungo wa Yanga, Clatous Chama Simba wamehusika kwa namna hii kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe ameweka wazi kuwa malengo yao ni kuona kwamba hasahauliki kwa kuwa ni yuleyule.