CHEZA RICH PANDA USHINDE MKWANJA

Mchezo wa kasino ambao unaweza kukufanya ukashinda mkwanja kiurahisi kwasasa unapatikana pale Meridianbet na sio mchezo mwingine ni Rich Panda, Cheza mchezo huu uweze uibuke na kitita cha kutosha. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita kutokana na namna rahisi ya kuweza kucheza mchezo huu, Pitia tovuti ya Meridianbet sasa…

Read More

BREAKING: GRACE MAPUNDA (TESSA) AFARIKI DUNIA

Habari za kusikitisha zilizotufikia asubuhi hii ya Novemba 2, 2024 zinaeleza kuwa, muigizaji nguli wa Bongo Movies, Grace Mapunda almaarufu Tessa anayeng’ara kwenye Tamthiliya ya Huba amefariki dunia. GLOBAL TV imezungumza na Meneja Uzalishaji (Production Manager) wa Huba Series aitwaye Saffi ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba huo mzito. Saffi amesema Tessa amefariki dunia alfajiri ya…

Read More

YANGA YAIPIGA MKWARA AZAM FC

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawana hofu na wapinzani wao Azam FC licha ya timu hiyo kupata muda mrefu wa kufanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Dar Derby katika NBC Premier League. Ikumbukwe kwamba Azam FC mchezo wake uliopita ilicheza dhidi ya Ken Gold na kupata ushindi wa mabao 4-1 inakutana na…

Read More