
MASHABIKI WA YANGA WAGAWA MAHITAJI MBALIMBALI KWA WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA ISUPILO
MASHABIKI wa Tawi la Yanga Mjini Mafinga huko Iringa, wametoa huduma ya kuwakarimu wahitaji na waishio katika mazingira magumu wakiwemo Watoto yatima pamoja na kuwatembelea wafungwa katika Gereza la Isupilo Wilayani Mufindi. Mashabiki hao wamegawa mahitaji mbalimbali kwa wafungwa katika Gereza la Isupilo ikiwemo mafuta ya kupikia , Sabuni miche 75, Karanga debe moja na…