
SAKATA LA MANULA SIMBA KUCHUKULIWA HATUA
BAADA ya Simba kutotoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa Aishi Manula kwenye kikosi msimu wa 2024/25 Jemedari Said ameweka wazi kuwa wanasikitishwa na kitendo cha Simba hivyo watachukua hatua kuona mchezaji huyo anapata haki. Kwenye ukurasa wa Instagram ameandika namna hii: “Tunazungumza na wanasheria wetu kuona namna watakavyoshughulia suala la klabu ya Simba na mchezaji wetu…