YANGA YAPIGA HESABU USHINDI WA KISHINDO NAMNA HII

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na mchezo wa CRDB Federation Cup ambao dhidi ya Copco. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex Januari 25 2025  ikiwa ni mchezo wa mtoano na Yanga ni mabingwa watetezi wat aji hilo. Ali Kamwe,…

Read More

ISHU YA PAPE SAKHO KULETA RUNGU LA FIFA SIMBA IPO HIVI

BAADA ya taarifa kueleza kuwa Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba kutokana na madai ya Klabu ya Teungueth ya Senagal kuhusu malipo ya  mchezaji Pape Sakho uongozi wa timu hiyo umekiri kufanya makosa katika kukamilisha mchakato huo. Ikumbukwe kwamba hivi karibuni rungu la namna hiyo liliwakumba Singida Fountain Gate na…

Read More

MAKOSA YAFANYIWE KAZI KUIMARISHA STARS

DHAMIRA kubwa kwenye mechi za kirafiki ni kutambua makosa yalipo ili kuyafanyia kazi kwenye mechi zijazo. Tumeona namna wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania walivyopambana dhidi ya Sudan. Kupata sare ya kufungana bao 1-1 ugenini sio jambo la kujutia bali ni kuangalia wapi makosa yalifanyika. Kwenye safu ya ushambuliaji ni muhimu kuongeza umakini wakati…

Read More

YANGA HAWAJAPOTEZA MKWAKWANI, TANGA

YANGA kwenye mechi mbili walizocheza Uwanja wa Mkwakwani hivi karibuni hawajapoteza hata mmoja. Ilikuwa ni fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Azam FC, kwenye mchezo huo Yanga walishinda bao 1-0. Mchezo wa pili kwa Yanga ilikuwa dhidi ya Azam FC katika hatua ya nusu fainali ya kwanza ya Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkwakwani….

Read More

CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA

MANCHESTER City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika ya 57. Ni Joshua Kimmich dakika ya 83 alipachika bao katika mchezo huo kwa pigo…

Read More

Cheza Sloti ya GOLD OASIS Kasino Bora Meridianbet

Gold Oasis, mchezo mwingine wa sloti  kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni unaokupeleka maeneo ya jangwa la Sahara. Kazi yako ni kujiunga na kikundi kilichoanzisha kampeni ya ushindi mkubwa. Karibu kwenye furaha kubwa ya kukusanya maokoto.   Gold Oasis ni mchezo wa sloti ulioandaliwa na mtayarishaji Pragmatic Play. Kitu kisichokuwa cha kawaida kabisa kinakungoja katika mchezo…

Read More

YANGA WANA JAMBO LAO NA AZAM FC

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wana jambo lao na Azam FC kwenye mchezo wa fainali. Ngoma inatarajiwa kuchezwa leo ndani ya dakika 90 katika msako wa mshindi mpya ikiwa ni mchezo wa funga msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Yanga wana taji la Ligi Kuu Bara walitwaa…

Read More