
SIMBA YAPIGA HESABU ZA MASHUJAA
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mashujaa wanahitaji pointi tatu muhimu. Simba Novemba Mosi 2024 itakuwa ugenini Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kusaka pointi tatu dhidi ya Mashujaa ambayo imetoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Fountain Gate. Fadlu amesema; “Ni mchezo muhimu…