
SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA AWESU AWESU
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa taratibu nyota wao wanazidi kuimarika kutokana na maandalizi mazuri ambayo wanayafanya chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba mchezo wa kwanza wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC, Mwenge iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United mabao yakifungwa na Che Malone dakika ya 14, Valentino Mashaka dakika ya…