
SIMBA KWENYE REKODI YAKIMBIZA BONGO
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kimepeta kwenye rekodi ndani ya 2024/25 kutokana na kufanya vizuri kwa wachezaji baada ya mechi 10. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa hayo yote yanatokana na uwekezaji ambao umefanywa kwa kuchukua wachezaji wenye ubora mkubwa. “Tuna wachezaji wenye namba…