
FOUNTAIN GATE INAVUTIA NA KUSHANGAZA
NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ushindani ni mkubwa ambapo kila timu inapambana kufanya kweli ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani. Vinara wa ligi ni Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids imekuwa na mwendo wake ambapo kwenye mechi 10 imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Yanga. Kuna Fountain Gate hii imekuwa…