
KOCHA MPYA KUJA NA MTINDO MPYA KIMATAIFA YANGA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kocha mpya wa timu hiyo raia wa Ujerumani amekuja na aina mpya ya kucheza inayokwenda kwa jina la gusa achia twende kwao. Ni Sead Ramovic huyu ni mrithi wa mikoba ya Miguel Gamondi ambaye kwenye Ligi Kuu Bara aliongoza kikosi kwenye mechi 10 msimu wa 2024/25, ushindi mechi 8 na…