
SIMBA KWENYE MSAKO KIMATAIFA DHIDI YA WAARABU, WATINGA MAKUNDI
FT: UWANJA WA MKAPA Simba 3-1 Al Ahli Tripoli Cristovao Mabululu dakika ya 17 Simba mabao yamefungwa na Kibu Dennis dakika ya 36. Ateba dakika ya 45 bao la dakika ya 63 limefutwa kwa kile kilichoelezwa kuwa mfungaji alikuwa eneo la kuotea. Bao la tatu limefungwa na Edwin Balua dakikaya 89 ikiwa ni tiketi ya…