
ITALIA YAFUNGWA 3-1 DHIDI YA UFARANSA, ENGLAND 5-0 IRELAND
Timu ya taifa ya Italia ikiwa nyumbani katika dimba San Siro imekubali kichapo cha 3-1 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa UEFA Nations League huku Ufaransa ikivunja mwiko wa miaka 18 wa kutopata ushindi dhidi ya Italia kwenye mechi za kiushindani. FT: Italy 🇮🇹 1-3 🇫🇷 France ⚽ 35’ Cambiaso ⚽ 2’ Rabiot ⚽ 33’…