
VIBE LA CHUI SIO LA KITOTO HUKO
KAZI inaendelea ambapo tamasha lingine kubwa linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Liti, Singida ikiwa ni utambulisho wa wachezaji wapya na benchi la ufundi. Ni Singida Black Stars wameweka wazi kuwa kutakuwa na burudani kubwa katika kilele cha Big Day,Uwanja wa Liti Agosti 10 2024 ambapo kutakuwa na mchezo wa kirafiki utakaokuwa na ushindani mkubwa. Hilo ni…