
CHE MALONE APELEKA KILIO KWA WAJELAJELA
WAJELAJELA Tanzania Prisons wamepoteza mchezo wakiwa nyumbani mzunguko wa kwanza mbele ya Simba baada ya dakika 90 kukamilika. Bao pekee la ushindi limefungwa dakika ya 5 na Che Malone baada ya Mussa Mbisa kutema faulo akiwa ndani ya 18 iliyopigwa na Kibu Dennis. Baada ya bao hilo Prisons waliongeza umakini na kuongeza ulinzi hasa wakimzuia…