SIMBA HESABU KWA DODOMA JIJI

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…

Read More

MCHEZO MZIMA WA AZIZ KI KUSAINI YANGA UPO HIVI

SAKATA la usajili wa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stephanie Aziz Ki, limeingia katika sura mpya na kumuibua Msemaji wa Yanga, Haji Manara ambaye amefunguka kila kitu kuhusu ishu ya staa huyo kutua Jangwani. Aziz Ki amekuwa gumzo kubwa kwa siku za karibuni kufuatia kuziingiza kwenye vita kali klabu za Simba na…

Read More

PABLO:WACHEZAJI SIMBA WAMEKOSA HALI YA KUJIAMINI

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake kwa sasa wamekosa hali ya kujiamini kutokana na kushindwa kufunga kwenye mechi tatu mfululizo jambo ambalo linafanyiwa kazi. Kwa sasa kwenye ligi Simba imekusanya pointi 25 ikiwa nafasi ya pili na imefunga mabao 14 huku Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 35 na imetupia jumla…

Read More

MAJINA 14 YAPITISHWA NDANI YA SIMBA

KUELEKEA kwenye uchaguzi mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika Januari 29,2023 kamati ya uchaguzi jana Desemba 25,2022 imetoa orodha ya wagombea 14 waliopitishwa kuwania nafasi mbalimbali. Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Boniface Lihamwike imebainisha kuwa majina ya waliopitishwa ni wale ambao wamekidhi vigezo huku idadi ya wanaowania nafasi ya mwenyekiti ikiwa na wagombea wawili, 12 kwa…

Read More

KOCHA SIMBA AFUNGUKA “TUNA RATIBA NGUMU”

  PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba, amesema wana ratiba ngumu jambo linalowafanya kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi.   Jana Jumamosi, Simba ilitarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro. Kabla ya mchezo huo, Simba imetoka kupoteza mbele ya Mbeya City kwa kufungwa bao 1-0….

Read More

Clifford Ndimbo: Kambi ya Taifa Stars Misri Inaenda Vizuri

Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Clifford Mario Ndimbo, amesema maandalizi ya timu ya taifa kuelekea michuano ya AFCON 2025 yanaendelea vizuri katika kambi ya timu iliyowekwa nchini Misri. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Desemba 12, Ndimbo ameeleza kuwa mazingira ya maandalizi ni mazuri na kwamba wachezaji wanaendelea…

Read More

KOCHA CHELSEA ATAKA ALAUMIWE YEYE

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Chelsea, Thomas Tuchel ameweka wazi kuwa kipa wake Kepa Arrizabalaga hapaswi kulaumiwa kwa kukosa penati na hawezi kujutia kwa nini alimpa nafasi dakika za mwisho. Katika fainali ya Carabao Cup iliyopigwa juzi Uwanja wa Wembeley, Kepa alikosa penati na kuipa nafasi Liverpool kutwaa taji hilo kwa ushindi wa penalti 11-10…

Read More

YANGA KURUDI DAR NA FURUSHI LA POINTI

BAADA ya kikosi cha Yanga kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Geita Gold Machi 6,2022 leo wanarejea Dar kikiwa na furushi la pointi kibindoni. Bao pekee la ushindi lilijazwa kimiani na Fiston Mayele dakika ya 1 na lilidumu mpaka kipyenga cha mwisho. Ushindi huo unaifanya Yanga iridium kujenga ngome kileleni ikiwa na pointi 45…

Read More