NYOTA HAWA WATANO WA YANGA KUIKOSA NAMUNGO
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga kwa sasa wapo ndani ya Ilulu, Lindi kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Novemba 20, Uwanja wa Ilulu na itakuwa ni mara ya kwanza kwa Yanga kukutana na Namungo kwenye uwanja huo…