PABLO KUBADILI MBINU LEO KUIKABILI RUVU SHOOTING
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, ameamua kubadili mbinu kuhakikisha kikosi chake kinarudisha furaha kwa mashabiki na kumaliza msimu vizuri, huku akianza jambo hilo katika mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Katika hilo, Pablo ameamua kuunda vikosi viwili ambavyo vitakuwa na uwezo wa kucheza mechi kulingana na…