KMC:HATUTETELEKI,TULICHEZA VIZURI MBELE YA YANGA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa bado malengo yao ni kuweza kupata matokeo kwenye mechi zjazo licha ya kupoteza mbele ya Yanga. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa walipoteza mchezo wao uliopita kutokana na kushindwa kutumia nafasi hivyo makosa watayafanyia kazi. “Tulikuwa na mechi muhimu dhidi ya Yanga na…