UONGOZI wa Yanga pamoja na wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Machi 17 waliweza kutoa msaada katika Hospital ya Ocean Road ikiwa ni kwa ajili ya kumbukizi ya mwaka mmoja tanfu atangulie mbele za hakai Rais wa Awamu ya 5, John Pombe Magufuli.
VIDEO:NAMNA YANGA WALIVYOTOA MSAADA OCEAN ROAD
