SIKU KUU YA WANAWAKE DUNIANI, IMENOGESHWA NA MKONO WA PONGEZI KUTOKA MERIDIANBET
Kama ilivyodesturi ya Meridianbet kurudisha kwenye jamii inayoizunguka, safari hii, kampuni ya Meridianbet Tanzania imetoa mkono wa pongezi kwa kina mama waliojifunga na wanaotarajia kujifungua kwenye Hospitali ya Mkoa Ya Rufaa, Mwananyamala. Tarehe 8 mwezi Machi kila mwaka, ni siku maalumu ya kumsherehekea mwanamke kote duniani. Siku hii ni mahsusi katika kumpatia thamani mwanamke…