
NAMNA SIMBA WALIVYOICHAPA 3-0 RED ARROWS KWA MKAPA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco jana Novemba 28 kilitupa kete ya kwanza kwenye mchezo wa mtoano katika Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 3-0. Kasi ya Simba ilianza katika dakika 45 za mwanzo ambapo ni Bernard Morrison raia wa Ghana alifunga bao la kwanza kwa pigo huru ilikuwa dakika ya…