
KOCHA NABI ATAJWA KUIBUKIA SIMBA
IMEELEZWA kuwa, licha ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, kuachia nafasi ya Uenyekiti waBodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, lakini bado anahusika kwenye baadhi ya mambo ikiwemo kipindi hiki chamchakato wa kusaka kocha mpya wa kuinoa timu hiyo. Wakati Simba ikiwa kwenye mchakato wa kumsaka mrithi wa Kocha Didier Gomes aliyeachia ngazi Jumanne ya wiki hii, baadhi ya viongozi wa Simba wameonekana kulijadili jina la Kocha…