
STARS NDANI YA MADAGASCAR TAYARI KWA KAZI
TIMU ya Taifa ya Tanzania,Taifa, Taifa Stars kesho ina kibarua kingine cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Madagascar katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Novemba 14 na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote kwa sasa hazina cha kupoteza zaidi ya kutafuta heshima. Jana Novemba…