
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons
IKIWA kwa sasa harakati za usajili wa dirisha dogo limeanza,mabosi wa Simba wameamua kumuachia jukumu la kupendekeza Kocha Mkuu wa Simba Pablo Franco wa kuweza kupendekeza maeneo anayohitaji waweze kuyaboresha. Taarifa kutoka benchi la ufundi wa Simba zimeeleza kuwa kwa sasa hakuna mapendekezo ambayo yametolewa lakini viongozi wanasubiri taarifa kutoka kwa Pablo ili waweze kufanya…
WAKATI leo kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikitarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela itakosa huduma ya nyota wake wanne ambao wamehusika kwenye jumla ya mabao saba. Yanga yenye pointi 20 ipo nafasi ya kwanza na safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 12 na ukuta…
KUELEKEA mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga, Tanzania Prisons wametamba kuwa wapinzani wao hawawatishi na watahakikisha wanavunja rekodi yao ya kutofungwa tangu kuanza kwa msimu huu. Mchezo huo wa ligi kuu unatarajiwa kupigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa. Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons, Shaban Kazumba alisema: “Tunamshukuru Mungu tunaendelea na mazoezi kuelekea kwenye mchezo wetu wa ligi unaofuata dhidi ya Yanga japo kuna mvua kidogo “Kama tulivyopeleka maumivu ya mabao…
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hana hofu kukosekana kwa beki wake wa pembeni, Shomari Kibwana kwani tayari yupo mbadala wake David Bryson anayemuandaa kuchukua nafasi yake. Kibwana anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne akiuguza majeraha ya goti aliyoyapata katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba wikiendi…
KLABU ya Mianzini FC kutoka Temeke Jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuibuka Mabingwa wa Meridian Bet Street Soccer Bonanza yaliyofanyika Desemba 18 mwaka huu kwenye viwanja vya Mwembeyanga. Mianzini walitwaa ubingwa huo baada ya kuwachapa TP City FC kwa mikwaju 4-3 ya Penalti baada ya dakika 90 za mchezo huo kumalizika kwa matokeo ya 0-0…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari [Pre-Match Press Conference] amesema, kuna baadhi ya wachezaji wake ni wagonjwa kuelekea mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons. Nabi amesema bado hawezi kuthibitisha wachezaji wangapi wanaweza kukosekana kwenye mchezo wa kesho kwa sababu itategemea na watakavyoamka kesho. Nabi pia ametoa…
RASMI mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba umeahirishwa. Mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa leo Desemba 18, Uwanja wa Kaitaba na maandalizi yalikuwa yamekamilika kwa timu zote mbili. Jana kwenye kikao na Waandishi wa Habari, Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba alibainisha kuwa karibu robo tatu ya wachezaji wa timu…
IMETOKA orodha ya waamuzi waliopata nafasi ya kuchezesha michuano ya Afcon lakini kwa Tanzania hakuna ambaye amechaguliwa. Waamuzi waliotaganzwa kuchezesha michuano hiyo, wapo kutoka karibu kila nchi hata zile za jirani kama Uganda na Rwanda lakini Tanzania haina nafasi. Nasema Tanzania haina nafasi baada ya kutopata nafasi hata ya mwamuzi mmoja aliyeteuliwa katika hatua hiyo…
IKIWA kwa sasa dirisha dogo la usajili limefunguliwa nyota watatu wa Yanga wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo ili waweze kupata changamoto mpya katika timu nyingine kutokana na kukosa nafasi kikosi cha kwanza. Nyota hao ni pamoja na Abdalah Haji, beki huyu wa kati mzawa kwenye mechi nane za Yanga amecheza mechi moja…
WACHEZAJI wa Simba ambao leo wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wanakabiliwa na homa pamoja na mafua. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, mzawa Seleman Matola ameweka wazi kuwa wameweza kufika salama Kagera kwa ajili ya mchezo huo na wapo tayari lakini kuna baadhi ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaoatarajiwa kuchezwa kesho, Desemba 18. Itakuwa ni Uwanja wa Kaitaba ambapo tayari timu ya Simba imeshawasili Bukoba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….
UONGOZI wa Klabu ya Simba leo Desemba 17,2021 umezindua kampeni maalumu kwa ajili ya mashabiki,wanachama na wadau kuweza kuchanga fedha kwa ajili ya gharama za ujenzi wa kisasa. Uwanja huo wa Mo Simba Arena gharama zake ambazo zinatarajiwa kutumika ni zaidi ya Bilioni 30 na wameweka wazi kwamba utakuwa ni mchakato endelevu na matumizi ya…
Desemba 17, 2017, Gazeti la Spoti Xtra liliingia mtaani kwa mara ya kwanza. Tangu hapo, hadi leo Desemba 17, 2021, limetimiza miaka minne likiendelea kufanya vizuri na kuteka wasomaji wengi ambao wamekuwa wadau wetu wakubwa. Unaouona hapo, ni ukurasa wa mbele wa nakala ya kwanza ya Gazeti la Spoti Xtra. Ubora wa timu ya Spoti…