
NYOTA YANGA ATAKA PASI 15 ZA MABAO
BEKI wa kulia wa Yanga, Djuma Shabani, amefunguka moja ya malengo yake ni kuhakikisha anatoa pasi nyingi za mabao kuanzia 15 msimu huu ambazo zitawasaidia washambuliaji wa timu hiyo kufunga mabao mengi zaidi. Msimu huu ukiwa ni wa kwanza kwa beki huyo, tayari amefanikiwa kutoa asisti tatu ambapo mbili ni katika Kombe la Shirikisho la Azam, huku moja ndani ya Ligi Kuu Bara na kufunga bao moja. Djuma amesema: “Ni furaha kutoa…