RUVU SHOOTING HESABU ZAO HIZI HAPA

  MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ubora wa kikosi ambacho eanacho kwa sasa hawana wasiwasi na mechi za Ligi Kuu Bara. Bwire amebainisha kuwa wanajivunia kutokana na kutumia kikosi kazi chenye wazawa huku wakiwa na malengo ya kufanya vizuri katika kila mechi. “Tuna wachezaji wazuri ambao wana uwezo mkubwa na kila…

Read More

YANGA:MOTO HUU HAUZIMI

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetamba kuwa moto walioanza nao kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu hauzimiki, bali wataendelea kukusanya pointi tatu katika kila mchezo ulio mbele yao ili kutimiza jambo lao la kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.   Yanga wameanza vizuri msimu huu wa 2021/22 ambapo mpaka sasa kwenye Ligi Kuu…

Read More

HUU HAPA MSHAHARA KOCHA MPYA SIMBA

BAADA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya kikosi cha Simba, Pablo Franco raia wa Hispania anatajwa kuingia kwenye orodha ya makocha ambao watakuwa wanakunja mkwanja mrefu ndani ya Bongo ikiwa ni zaidi ya milioni 30 kwa mwezi.   Pablo amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Simba akichukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa klabu…

Read More

POGBA MAJANGA MATUPU

KIUNGO wa kati wa Manchester United Paul Pogba hatoshiriki katika mechi ya michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia baada ya kupata jeraha la nyonga.   Mshindi huyo wa Kombe la Dunia, mwenye umri wa miaka 28 alipata jeraha wakati wa mazoezi  Jumatatu , Shirikisho la soka nchini Ufaransa FFF limesema.   Pogba hatoshiriki katika mechi ya Jumamosi dhidi…

Read More

TAIFA STARS YAPOTEZA KWA MKAPA

IKIWA uwanja wa Mkapa leo Novemba 11, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya DRC Congo. Ilikuwa ni katika kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo Stars ilikuwa inapambana kupata pointi tatu sawa na DRC Congo. Kipindi cha kwanza umakini kwa safu ya ushambuliaji ya Stars inayoongozwa na Mbwana…

Read More

KOCHA WA SIMBA KUIBUKIA KWA MKAPA

PABLO Franco, raia wa Hispania leo Novemba 11,2021 anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaoshuhudia mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya DR Congo.   Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jiono huku timu zote mbili hesabu kubwa ikiwa ni katika kupata ushindi ili kuweza…

Read More

STEVEN GERRARD KOCHA MPYA ASTON VILLA

Nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Steven Gerrard,  leo Novemba 11, 2021 ametangazwa rasmi kuwa Meneja mpya wa Aston Villa. Gerrard (41) ambaye alikuwa kocha wa Klabu ya Glasgow Rangers tangu 2018 anachukua, nafasi ya Dean Smith aliyefutwa kazi siku ya Jumapili.  

Read More

MAKIPA BONGO NA MIGUSO YAO YA MAANA

MAKIPA wengi kazi yao ni kuzuia michomo kuingia ndani ya lango ila wamekuwa pia na mchango kwenye miguso ya mwisho inayosababisha kupatikana kwa ushindi kwa timu zao. Leo tunaangazia rekodi za makipa ndani ya Bongo ambapo pasi zao zilikuwa chachu ya ushindi kwenye mechi ambazo walicheza katika mashindano tofauti:- Nurdin Barola Msimu wa 2020/21, Septemba 6,2020…

Read More

KOCHA DR CONGO ATABIRI MATOKEO MECHI YA LEO

MWINYI Zahera, aliyekuwa kocha msaidizi ndani ya timu ya taifa ya DR Congo amesema kuwa matokeo ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya DR Congo ni 50/50 kutokana na hesabu za timu zote mbili.   Mchezo wa kwanza walipokutana nchini DR…

Read More

NAFASI YA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA NI 50/50

NAFASI ya Tanzania kuhusu kufuzu Kombe la Dunia kweda Hatua ya Play off naiona ni 50/ 50 yaani lolote linaweza kutokea kwenye mpira maana hawako katika nafasi nzuri sana wala mbaya kwenye msimamo wa kundi J.  Ikumbukwe kwamba kwa sasa Tanzania ni kinara wa kundi hilo akijikusanyia pointi 7 kwenye mechi 4 ambazo amekwishacheza mpaka…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA ACHAMBULIWA NAMNA HII NA IBENGE

KOCHA mkuu wa RS Berkane ya nchini Morroco, Florent Ibenge amesema kuwa klabu ya Simba imepata moja kati ya makocha wakubwa ambao wamepata uzoefu katika timu kubwa jambo ambalo anaamini litaisaidia timu hiyo kufanya vizuri. Ibenge aliwahi kuhusishwa kujiunga na Simba kabla ya timu hiyo kumshusha Didier Gomes msimu uliopita wakati kocha huyo akiwa anaifundisha…

Read More

SIMULIZI YA JAMAA ALIYEPOTEZA NG’OMBE WAWILI

SIMULIZI ya aliyeibiwa Ng’ombe wawili kisha akawapata ipo namna hii:- Ama kwa hakika kila mtu anapaswa kuheshimu mali ya mwenzake kwa vyovyote vile kwani ndio undugu unaohitajika. Kwa jina ni Simon kutoka kaunti ya Vihiga. Nilikuwa mfanyibishara haswa wa kilimo. Nilikuwa na Ng’ombe wawili wa maziwa ambao nilikuwa Napata faida nyingi kutokana na uuzaji wa…

Read More

AZAM FC KUTESTI MITAMBO AZAM COMPLEX NA JKU

WACHEZAJI wa Azam FC wameendelea na maandalizi ya mechi zao zijazo za Ligi Kuu Bara na chimbo lao likiwa ni palepale katika Uwanja wa Azam Complex.   Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina katika mechi tano ambazo ni dakika 450 imekusanya pointi 7 ipo nafasi ya nane na safu yake ya ushambuliaji imetupia…

Read More