
YANGA YAZIDI KUIMARIKA
KAMBI ya muda iliyowekwa na vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga inatajwa kuwaimarisha mastaa wa timu hiyo jambo ambalo limemfurahisha kocha wa timu hiyo Nasreddine Nabi. Novemba 9, Yanga ilikuwa ndani ya Bahari ya Hindi na kuibukia Zanzibar ambapo ilikuwa na mechi mbili za kirafiki kwa ajili ya kujiimarisha kuelekea mechinza ligi na ilishinda zote…