
GEITA GOLD KITUO KINACHOFUATA KAITABA
BAADA ya Klabu ya Geita Gold kupoteza katika mchezo wake uliopita kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC, Novemba 20 wanakibarua kingine cha kusaka pointi tatu. Kwenye mchezo huo Khoeminy Aboubakhari kipa wa Geita Gold aliweza kuokoa penalti ya matajiri wa Dar pale Azam Complex sasa kituo kinachofuata ni Kaitaba, Bukoba. Geita Gold haijawa…