
DIARRA KUMPA CHANGAMOTO AISHI MANULA
MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula atapata changamoto kubwa kutoka kwa kipa wa Yanga,Diarra Djigui. Nienov kwa sasa ameshachimbishwa ndani ya Simba ilikuwa ni Septemba 26 kwa kile kilichoelezwa ni makubaliano ya pande zote mbili. Nienov aliweka wazi kwamba anatambua ubora wa…