
RATIBA LIGI KUU BARA LEO
NOVEMBA 30 raundi ya 7 inazidi kukatika taratibu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22. Baadhi ya mechi zimechezwa na tumeshuhudia hat trick ya kwanza ikipigwa Uwanja wa Nelson Mandela, wakati Tanzania Prisons ilipocjeza na Namungo FC. Leo ratiba inaendelea ambapo itakuwa namna hii:- Biashara United ya Mara dhidi ya Polisi Tanzania…