
CHAMA MIKONONI MWA BARBARA SIMBA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, ishu nzima ya usajili wa majembe mapya kwenye kikosi cha timu hiyoakiwemo kiungo Mzambia, Clatous Chama kwa sasa inashughulikiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez.Chama aliuzwa na Simba miezi minne iliyopita na kujiunga na RS Berkane ya Morocco akisaini mkataba wamiaka mitatu unaotarajiwa kukamilika 2024. Akizungumza na Spoti Xtra,…