Home Sports UWANJA WA MKAPA NGOMA NZITO SIMBA 0-0 PRISONS

UWANJA WA MKAPA NGOMA NZITO SIMBA 0-0 PRISONS

Dakika 45 Uwanja wa Mkapa timu zote hazijafungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Ubao unasoma Simba 0-0 Tanzania Prisons na timu zote mbili zinacheza kwa nidhamu kubwa hasa katika eneo la ulinzi.

Prisons madhambulizi yao ni ya kustukiza na wamepata kona mbili kuelekea lango la Simba huku Simba ikiwa imepata kona nne na zote hazijazaa matunda.

Mipira yote ya pembeni inayopigwa na Simba inaishia miguuni mwa mabeki wa Prisons.

Previous articleBOXER BADO UNA MUDA WAKURUDI TENA KATIKA UBORA
Next articleSIMBA YASHINDA KWA PENALTI MBELE YA PRISONS