Home Sports TANZANIA YAINGIA 10 BORA

TANZANIA YAINGIA 10 BORA

SHIRIKISHO la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza orodha ya Ligi Bora duniani kwa mwaka 2021, ambapo Ligi Kuu ya Brazil (Serie A) imeshika nafasi ya kwanza.

Ligi Kuu Tanzania imepanda kwa nafasi tisa (9) kutoka nafasi ya 71 (2020) hadi nafasi ya 62 (2021) duniani huku kwa Afrika ikishika nafasi ya 10 na kusalia kuwa Ligi pekee kwenye 10 Bora ya Afrika kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Previous articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
Next articleRATIBA YA LEO LIGI KUU BARA