
MANCHESTER UNITED WANATAMBA KITAA KWA USHINDI
Mashabiki wa Manchester United bado wanatamba kitaa kwa ushindi ambao wameupata katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace. Ushindi wa bao 1-0 unawafanya watambe kwa fujo baada ya kusepa na pointi tatu muhimu Uwanja wa Old Trafford. Bao pekee la ushindi lilipachikwa dakika ya 77 kupitia kwa Fred na kuilaza jumlajumla Crystal…