
MUGALU NA LWANGA WAONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA PABLO
RASMI Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, amemuondoa mshambuliaji Chris Mugalu na kiungomkabaji, Taddeo Lwanga katika mfumo wake kuelekea Kariakoo Dabi itakayowakutanisha Simba dhidi Yangakesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Nyota hao wote wapo nje ya uwanja kwa muda mrefu wakiuguza majeraha ya goti wote wawili. Mmoja wa mabosi kutoka ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo, ameliambia Championi Ijumaa kuwa wachezaji…