
IMEISHA HIYO KWA MKAPA, SIMBA 0-0 YANGA
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja. Mpaka mwamuzi wa kazi Herry Sasii anapuliza filimbi ya mwisho kukamilishwa ngwe ya dakika 90 hakuna mbabe kwenye mchezo wa leo. Yanga inaendelea na rekodi yake ya kucheza mechi ya nane bila kufungwa huku Simba ikiikwama kuivunja rekodi…