
WAPINZANI WA SIMBA WAPANIA KULIPA KISASI ZAMBIA
UONGOZI wa timu ya Red Arrows ya Zambia, umeweka wazi kuwa umepanga kulipa kisasi katika mchezowa marudiano dhidi ya Simba licha ya kufungwa mabao mengi kutokana na mvua iliyoharibu hali ya uwanja na kukwamisha mipango yao. Timu hiyo inayomilikiwa na Jeshi la Anga la Zambia, imepoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho kwa mabao 3-0 dhidi ya Simba kabla ya mchezo wa marudiano unaotarajiwa kupigwa Jumapili ya…