SportsHT:BIASHARA UNITED 0-0 YANGA Saleh4 years ago4 years ago01 mins DAKIKA 45 za mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Yanga zimemeguka Uwanja wa CCM Kirumba leo Mei 23. Ubao unasoma Biashata United 0-0 Yanga ambapo kila timu inacheza kwa kushambulia na mpira wa pasi nyingi. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wamepiga jumla ya kona mbili ambazo hazijaleta matunda huku Biashara United wakicheza kona moja. Hakuna mchezaji ambaye ameonyeshwa kadi ya njano wala kuumizwa kutokana na migongano ya ndani ya uwanja. Winga mshambuliaji wa Yanga, Dickosn Ambundo na mshambuliaji Fiston Mayele wamekuwa wakitengenezea nafasi kuliandama lango la Biashara. Biashara United wao mchora ramani ni Ramadhan Chombo ambaye anatimiza majukumu yake. Post navigation Previous: NENO LA GUARDIOLA BAADA YA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLANDNext: FT:BIASHARA UNITED 1-1 YANGA
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0